Inapakia...

Imeongezwa kwenye kikapu!
✨ Premium Collection 2026

Mtindo wa
Kisasa kwa Watoto

Ubora. Mtindo. Bei Rafiki.

"Tunawavisha watoto kwa ubora wa kimataifa kwa bei ambayo kila mzazi anaweza kumudu."

Nunua Mtindo wa Sasa
Fashion Kid
Stylish Kid
Usafirishaji wa Haraka Malipo Salama Kurudisha Nguo ndani ya Siku 3 Agiza kupitia WhatsApp Ubora wa Kimataifa Usafirishaji wa Haraka
🛍️ Bidhaa Zinazovuma

Mitindo ya Kisasa

Bofya "Kaa Kikapu" kwenye bidhaa unazotaka. Ujumme utapelekwa WhatsApp na orodha yote!

Viatu Trending

Viatu vya Kipekee

Vyenye mapambo ya moyo na ubora wa hali ya juu.

TZS 35,000
Mavazi New

Mavazi ya Kifahari

Ya kisasa kwa matukio maalumu na shule.

TZS 45,000
Vipodozi Top Pick

Vipodozi vya Nywele

Ya mtindo wa Princess, yenye uboro wa hali ya juu.

TZS 15,000
Mavazi

Mavazi ya Shule/Idd

Yenye mapambo mazuri, ya kuvutia kwa matukio.

TZS 25,000
❓ FAQ

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, mnaruhusu kurejesha nguo zilizonunuliwa?

Ndiyo, tunaruhusu kurejesha nguo zenye kasoro ndani ya siku 3 tangu siku ya kununua. Hakikisha nguo haijatumiwa na bado ina lebo (tag) asili.

Je, mnasafirisha bidhaa mikoani?

Ndiyo, tunasafirisha mikoani kupitia mabasi ya barabara au abiria kulingana na mapatano. Mteja analipia kodi ya usafirishaji (delivery fee) inayotegemea mkoa.

Ninawezaje kujua ukubwa (size) sahihi wa mtoto wangu?

Kwenye picha ya bidhaa kuna maelezo ya ukubwa. Pia unaweza kutupigia WhatsApp au kuja nayo mtoto kwenye duka letu la Kariakoo kwa kujaribiana.

Je, mnatoa punguzo kwa wafanyabiashara (Wholesale)?

Ndiyo, tunatoa bei maalum kwa wananunua jumla (wholesale). Tafadhali wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp 065 764 6422 kwa majadiliano zaidi.

📍 Tulipo & Jinsi ya Kuagiza

Tuma Oda Au Sikuja Tukutane

Mtaa wa Mkunguni, Kariakoo – Dar es Salaam, karibu na Al Uruba Hotel. Unaweza kutuma oda moja kwa moja kupitia WhatsApp.

Piga/WhatsApp: 065 764 6422